From Wikipedia, the free encyclopedia
Kioromo-Kusini (pia Kiborana) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia na Kenya inayozungumzwa na Waoromo na Waborana. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kioroma-Kusini nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 3,630,000. Pia kuna wasemaji 277,800 nchini Kenya (2009) na wasemaji 41,600 nchini Somalia (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioromo-Kusini iko katika kundi la Kikushi.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kioromo-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.