![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c5/Bildad_Kagia._Nairobi._1949.jpg/640px-Bildad_Kagia._Nairobi._1949.jpg&w=640&q=50)
Bildad Kaggia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bildad Mwaganu Kaggia (1921 – 7 Machi 2005) alikuwa mzalendo, mwanaharakati, na mwanasiasa wa Kenya.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c5/Bildad_Kagia._Nairobi._1949.jpg/640px-Bildad_Kagia._Nairobi._1949.jpg)
Kaggia alikuwa mwanachama wa kamati kuu ya Mau Mau. Baada ya uhuru akawa mbunge.
Alijidhihirisha kuwa mwanajeshi, mzalendo mkali ambaye alitaka kuwatumikia watu maskini na wasio na ardhi. Kwa sababu hii alitofautiana bila maelewano na Jomo Kenyatta.[1] [2]