BenguelaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Benguela ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Angola na ambao ni makao makuu ya mkoa wa Benguela. Mwaka 2009 idadi ya watu ilikuwa 131,281[1].
Benguela ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Angola na ambao ni makao makuu ya mkoa wa Benguela. Mwaka 2009 idadi ya watu ilikuwa 131,281[1].