![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/7b/Concert_Band.jpg/640px-Concert_Band.jpg&w=640&q=50)
Bendi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bendi (kutoka Kiingereza band) ni kundi la wanamuziki wengi ambao wanaimba, na pengine wanapiga ala na kucheza kwa pamoja kama timu.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/7b/Concert_Band.jpg/640px-Concert_Band.jpg)
Bendi (kutoka Kiingereza band) ni kundi la wanamuziki wengi ambao wanaimba, na pengine wanapiga ala na kucheza kwa pamoja kama timu.