BeidaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Al Bayda au Beida (kwa Kiarabu البيضاء ) ni mji mkubwa wa nne nchini Libya[1][2] na mji mkubwa wa pili katika sehemu ya mashariki baada ya Benghazi. Mwaka 2020 ilikuwa na wakazi 250,000[3]. Mahali pa Al Bayda katika ramani ya Libya Msongamano wa magari katika Al Bayda
Al Bayda au Beida (kwa Kiarabu البيضاء ) ni mji mkubwa wa nne nchini Libya[1][2] na mji mkubwa wa pili katika sehemu ya mashariki baada ya Benghazi. Mwaka 2020 ilikuwa na wakazi 250,000[3]. Mahali pa Al Bayda katika ramani ya Libya Msongamano wa magari katika Al Bayda