![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/37/Pembe_la_fedheha.png/640px-Pembe_la_fedheha.png&w=640&q=50)
Banaadir
From Wikipedia, the free encyclopedia
Banaadir (Kwa Kisomali; Kiarabu: بنادر, English: Benadir) ni mkoa wa kiutawala uliopo kusini mashariki mwa Somalia. [1]
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/37/Pembe_la_fedheha.png/640px-Pembe_la_fedheha.png)
Mkoa huo una eneo sawa na jiji la Mogadishu ambao ndio mji mkuu wa nchi ya Somalia.
Mkoa huu umepakana kaskazini magharibi na Mto Shebelle na pia kusini mashariki umepakana na Bahari ya Somali. [2].
Mkoa huu una idadi kubwa sana ya watu ikikadiriwa kuwa 1,650,227 mnamo mwaka 2014. [3]
Kihistoria "Pwani ya Benadir" lilitaja sehemu kubwa ya pwani ya kusini ya Somalia kwenye Bahari Hindi, pamoja na Mogadishu, Merka na Barawa.