Imani ya Kibahá'í (kwa Kifarsi |بهائی.) ni dini inayofundisha kuabudu Mungu pekee.

Thumb
Bahá'í symbol.
Thumb
Makao makuu ya Bahá'í, huko Haifa, Israel.

Mwanzilishi wake alikuwa Baha'ullah aliyetokea Uajemi, (leo Iran) katika karne ya 19, aliyesisitiza umoja wa kiroho wa binadamu wote.[1]

Leo wafuasi wa dini hiyo duniani kote ni kati ya milioni 5 na 6.[2][3]

Katika imani ya Kibahá'í, historia inatazamwa kama mfululizo wa wajumbe wa Mungu walioanzisha dini mbalimbali kulingana na mahitaji ya wakati na watu. Kati yao kuna Abrahamu, Buddha, Yesu, Muhammad na wengineo.

Hatimaye walitokea Báb na Bahá'u'lláh kukamilisha yote ili kuleta amani, haki na umoja.[4]

Thumb
Bahá'í Temple, Ingleside, Sydney, Australia
Thumb
Alama za dini mbalimbali zilizochongwa katika nguzo ya Nyumba ya Ibada ya Kibaha'i huko Wilmette, Illinois, Marekani.
Thumb
Ringstone symbol inamaanisha uhusiano wa watu na Mungu.
Thumb
Patakatifu pa Báb huko Haifa, Israel.
Thumb
Nyumba ya Ibada ya Kibahá'í huko New Delhi, India inayovutia kila mwaka watalii milioni 4 kwa wastani.
Thumb
Bustani ya Wabahá'í huko Haifa, Israel.
Thumb
Mwandiko mzuri wa jina kuu.

Tanbihi

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.