![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/92/Augusta%252C_Maine_2.jpg/640px-Augusta%252C_Maine_2.jpg&w=640&q=50)
Augusta, Maine
From Wikipedia, the free encyclopedia
Augusta ni jina la mji mkuu wa jimho la Maine nchini Marekani. Idadi ya wakazi ya mjini hapa ilikadiriwa hadi kufikia kiasi cha watu 18,560 wanaoishi mjini hapa. Mji uliazishwa mnamo mwaka wa 1754. Mji upo m 20 kutoka juu ya usawa wa bahari.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/92/Augusta%2C_Maine_2.jpg/640px-Augusta%2C_Maine_2.jpg)
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Augusta, Maine | |
Mahali pa mji wa Augusta katika Marekani |
|
Majiranukta: 44°18′38″N 69°46′48″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Maine |
Wilaya | Kennebec |
Idadi ya wakazi (2000) | |
- Wakazi kwa ujumla | 18,560 |
Tovuti: www.ci.augusta.me.us |
Funga