Ansar al-Sunna Msumbiji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ansar al-Sunna Msumbiji (kwa Kiar. أنصار السنة, 'Wasaidizi wa mapokeo'), wanaojulikana pia kama al-Shabaab, Ahlu al-Sunna, Wasunna Waswahili, [1] na Ahlu Sunna wal Jammah, ni kundi la wanamgambo wa Kiislamu wanaopatikana katika Mkoa wa Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji. [2] Kundi hilo limeshambulia vikosi vya usalama na raia katika jaribio la kuanzisha serikali ya Kiislamu katika eneo hilo. [3] [4] [5]