Anne Barnard
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lady Anne Barnard (12 Desemba 1750 - 6 Mei 1825) alikuwa mwandishi wa Uskoti. Alikaa mjini Cape Town, Afrika Kusini, kwa miaka mitano, 1797-1802. Barua zake wakati huo ni chanzo muhimu kuhusu maisha nchini Afrika Kusini.
Ukweli wa haraka Amekufa, Kazi yake ...
Funga