Amu Darya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Amu Darya (kwa Kiajemi: آمودریا) ni mto mkubwa katika Asia ya Kati. Unaundwa na muungano wa mito ya Vakhsh na Panj. Katika nyakati za zamani mto huo uliangaliwa kama mpaka kati ya Iran na Asia ya Kati.
Ukweli wa haraka
Chanzo | Maungano ya mito Pamir na Panj kwenye mpaka wa Tajikistan na Afghanistan |
Mdomo | Ziwa Aral |
Nchi | Afghanistan, Tajikistan, Turkmenistan, Uzbekistan |
Urefu | km 2,620 |
Kimo cha chanzo | Panj m 4,130, Vakhsh 4,525, inapoungana m 326 |
Tawimito upande wa kulia | mto Panj |
Tawimito upande wa kushoto | mito Vakhsh, Surkhan Darya, Sherabad, Zeravshan |
Mkondo | Wastani m3/s 2,525, duni m3/s 420, juu m3/s 5,900 |
Eneo la beseni | km2 534,739 |
Funga