From Wikipedia, the free encyclopedia
Asia ya Kati ni eneo kubwa katikati ya bara la Asia. Kuna maelezo yanayotofautiana kati yao kuhusu eneo lenyewe.
Mara nyingi nchi zifuatazo huhesabiwa humo:
Zote zilikuwa jamhuri za Umoja wa Kisovyeti.
UNESCO imeongeza pamoja na nchi tano hizo nchi zifuatazo:
Kihistoria eneo hili limeitwa mara nyingi kwa jina "Turkestan" kwa sababu ilikaliwa au inakaliwa hadi leo na watu wanaotumia lugha za Kiturki.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Asia ya Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.