Ali Hassan Omar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ali Hassan Omar ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Jang'ombe kwa miaka 2015 – 2020. [1]Mwaka 2015-2018 alikuwa mwanachama wa kamati ya bajeti.[2]