AldanFrom Wikipedia, the free encyclopedia Aldan ni mto wa Urusi wenye urefu wa kilometa 2,273. Njia ya mto Aldan nchini Urusi Aldan ni tawimto la Lena katika Yakutia (Siberia ya Mashariki). Beseni lake ni eneo la km² 729,000. Inaweza kutumiwa na meli kwa urefu wa kilomita 1600.
Aldan ni mto wa Urusi wenye urefu wa kilometa 2,273. Njia ya mto Aldan nchini Urusi Aldan ni tawimto la Lena katika Yakutia (Siberia ya Mashariki). Beseni lake ni eneo la km² 729,000. Inaweza kutumiwa na meli kwa urefu wa kilomita 1600.