SiberiaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Siberia (kwa Kirusi: Сиби́рь, Sibir; kwa Kitartari: Seber) ni eneo kubwa mashariki mwa Urusi. Ni zaidi ya nusu ya eneo la Urusi wote. Eneo lake lote ni kilomita za mraba milioni 9.6 ambayo ni karibu sawa na Ulaya yote (km² milioni 10.6). Eneo la Siberia: nyekundu yote; Jimbo la Siberia ndani ya shirikisho la Urusi: nyekundu nyeusi.
Siberia (kwa Kirusi: Сиби́рь, Sibir; kwa Kitartari: Seber) ni eneo kubwa mashariki mwa Urusi. Ni zaidi ya nusu ya eneo la Urusi wote. Eneo lake lote ni kilomita za mraba milioni 9.6 ambayo ni karibu sawa na Ulaya yote (km² milioni 10.6). Eneo la Siberia: nyekundu yote; Jimbo la Siberia ndani ya shirikisho la Urusi: nyekundu nyeusi.