Alama za vidole
From Wikipedia, the free encyclopedia
Alama za vidole ni taswira ya pekee iliyo kwenye kiganja cha mkono wa binadamu.[1]
Alama za vidole za binadamu zina maelezo ya kina ambazo hudumu katika maisha ya mtu na hivyo kuzifanya zifae kama viashirio vya muda mrefu vya utambulisho wake. Zinaweza kutumiwa na polisi au mamlaka nyingine kutambua watu ambao wanataka kuficha utambulisho wao au kutambua watu wasio na uwezo au waliokufa na hivyo kushindwa kujitambulisha, kama katika matukio ya maafa asilia.[2][3]
Picha
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.