From Wikipedia, the free encyclopedia
Akili (kwa Kiingereza "intelligence") ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo. Ni ufahamu uliomo katika ubongo wa binadamu, unaoweza hata kutofautisha jambo kwa wema na ubaya wake na hatimaye kumuongoza katika kufanya maamuzi.
Ingawa akili kwa ujumla hutumiwa kuhusiana na binadamu, baadhi ya wanyama kama sokwe, bonobo, mbwa [1] n.k. na hata mimea [2] [3] huwa na dalili fulani za akili.
Dhana kuhusu asili ya akili zinatofautiana.
Akili bandia ni akili ya mashine inayopatikana kwa kutumia programu za kompyuta.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.