Agnès Callamard
Mwanaharakati wa haki za Binadamu / From Wikipedia, the free encyclopedia
Agnès Callamard ni msimamizi wa haki za binadamu nchini Ufaransa ambaye ni Katibu Mkuu wa Amnesty International.[1] Hapo awali alikuwa ripota maalumu juu ya hukumu au mauaji ya kiholela aliyeteuliwa na Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa. [2] Yeye pia ni Mkurugenzi wa mradi wa Chuo Kikuu cha Columbia kuhusu uhuru wa kujieleza ulimwenguni.[3]