Sinforosa na wenzake
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sinforosa na wenzake (walifariki Tivoli, karibu na Roma, Italia, 138) walikuwa mama na watoto wake sabaambao wakati wa dhuluma ya kaisari Adrian waliuawa kwa namna tofautitofauti [1] kutokana na imani ya ya Kikristo wakazidi kuwa ndugu katika Yesu[2].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.