Paterson, New Jersey
jiji ndani na kiti cha kaunti ya Passaic County, New Jersey, Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Paterson ni mji wa Marekani katika jimbo la New Jersey. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 145,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 32 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
West Orange | |
Mahali pa mji wa West Orange katika Marekani |
|
Majiranukta: 40°54′56″N 74°09′47″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | New Jersey |
Wilaya | Passaic |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 145,643 |
Tovuti: www.patersonnj.gov |
Funga