Marekani
nchi katika Amerika Kaskazini / From Wikipedia, the free encyclopedia
Muungano wa Madola ya Amerika (kwa Kiingereza: United States of America), inajulikana pia kama Marekani (kwa Kiingereza: United States, US, USA au America), ni nchi inayopakana na Kanada na Meksiko katika Amerika ya Kaskazini, mbali ya kuundwa pia na visiwa vya Hawaii.
Ukweli wa haraka Muungano wa Madola ya Amerika, Mji mkuu ...
Muungano wa Madola ya Amerika | |
---|---|
United States of America (Kiingereza) | |
Kaulimbiu ya taifa: "In God We Trust" | |
Wimbo wa taifa: "The Star-Spangled Banner" | |
Mahali pa Marekani | |
Mji mkuu | Washington, D.C. 38°53′N 77°1′W |
Mji mkubwa nchini | New York 40°43′N 74°0′W |
Lugha za taifa | Kiingereza |
Serikali | Jamhuri ya shirikisho |
• Rais | Joe Biden |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2023 | 334 914 895 |
Pato la taifa | Kadirio la 2023 |
• Jumla | USD trilioni 26.950 |
• Kwa kila mtu | USD 80 412 |
Sarafu | Dola ya Marekani |
Funga
Mji mkuu wa Marekani ni Washington DC.