Papa Klementi XIV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Klementi XIV, O.F.M.Conv. (31 Oktoba 1705 – 22 Septemba 1774) alikuwa Papa kuanzia tarehe 19/28 Mei/4 Juni 1769 hadi kifo chake[1]. Alitokea Sant'Arcangelo di Romagna, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Vincenzo Antonio Ganganelli.
Alimfuata Papa Klementi XIII akafuatwa na Papa Pius VI.