Miniato wa FirenzeFrom Wikipedia, the free encyclopedia Miniato wa Firenze (alifia dini Firenze, Italia, 250 hivi) alikuwa Mkristo, labda kutoka Armenia[1], ambaye aliuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Decius[2]. Mt. Miniato. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini[3]. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Oktoba[4].
Miniato wa Firenze (alifia dini Firenze, Italia, 250 hivi) alikuwa Mkristo, labda kutoka Armenia[1], ambaye aliuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Decius[2]. Mt. Miniato. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini[3]. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Oktoba[4].