Maua ya mwituni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Maua ya mwituni (au Mauamwitu) ni maua yanayokua katika mwitu au msitu, ikimaanisha hayakuzwi kwa mbegu. Huu msemo unamaanisha si mseto wala kilimo chaguliwa kwa kuwa ni tofauti kwa muonekano, kwa sababu ni maua ya asili kwa ardhi hiyo, hata kama kukua kwake hakutakua kiasili. Msemo huashiria mimea ya maua kiujumla hata kama hayajachanua wala si tu ua.
Katika hotuba ya mlimani, Yesu aliyazungumzia ili kusifu uzuri wake uliozidi ule wa mavazi ya mfalme Solomoni na kuhimiza waamini kumtegemea zaidi Mwenyezi Mungu (Math 6:28-30).