Mary Lynn Rajskub
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mary Lynn Rajskub (muda mwigine hujiita Marylynn Rajskub; amezaliwa 22 Juni 1971) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Huyu ni msanii na mchekashaji wa vitimbi vya kusimama. Ana asili ya Ucheki na Ireland.
Ukweli wa haraka Amezaliwa ...
Mary Lynn Rajskub | |
---|---|
Mary Lynn Rajskub baada ya kurekodi 24 Msimu wa 7, mnamo Mei 2009 | |
Amezaliwa | Mary Lynn Rajskub 22 Juni 1971 (1971-06-22) (umri 52) Trenton, Michigan, Marekani |
Funga
Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Chloe O'Brian kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.