Jack Nicholson
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jack Nicholson (amezaliwa tar. 22 Aprili 1937 mjini Neptune City, New Jersey) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Awali alianza kama mtunzi na mshiriki wa kujiegesha. Ameanza kuwa nyota mnamo 1969 pale alipotua na katika kijisehemu kidogo cha katika filamu ya Easy Rider.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Jack Nicholson | |
---|---|
Jack Nicholson, mnamo 2001 | |
Amezaliwa | John Joseph Nicholson 22 Aprili 1937 (1937-04-22) (umri 87) Neptune City, New Jersey, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1955-2010 |
Ndoa | Sandra Knight (1962-1968) Anjelica Huston (1973-1990) Rebecca Broussard (1989-1994) Lara Flynn Boyle (1999-2004) |
Watoto | 6 |
Funga
Miongoni mwa filamu zake nyingine ni pamoja na Five Easy Pieces (1970), Carnal Knowledge (1971), Tommy (1975), One Flew Over the Cuckoo's Nest (1975), The Shining (1980), Batman (1989), Mars Attacks (1996), As Good as it Gets (1997), About Schmidt (2002), na Anger Management (2003).