Arkansas
jimbo la Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Arkansas ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 2,855,390 (2007) wanaokalia eneo la 137,002 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Imepakana na Missouri, Tennessee, Mississippi, Louisiana, Texas na Oklahoma. Mji mkuu na mji mkubwa wa jimbo ni Little Rock (jabali mdogo).
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Arkansas | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Little Rock | ||
Eneo | |||
- Jumla | 137,732 km² | ||
- Kavu | 134,856 km² | ||
- Maji | 2,876 km² | ||
Tovuti: http://www.arkansas.gov/ |
Funga