Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Iznik ni mji na wilaya iliyopo katika Mkoa wa Bursa kwenye kanda ya Marmara huko nchini Uturuki.
Jina la zamani la mji huo lilikuwa Νίκαια, Níkaia. Jina hilo la Kigiriki limekuwa mara nyingi Nicaea au Nicea, kwa Kiswahili Nikea au Nisea.
Mji huo ulipata umaarufu kutokana na mitaguso mikuu miwili iliyofanyika huko, ule wa kwanza (325) na ule wa saba (787).
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu İznik (District), Bursa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.