Map Graph

Ziwa Winnipeg

Ziwa Winnipeg (kwa Kiingereza: Lake Winnipeg; kwa Kifaransa: Lac Winnipeg) ni ziwa kubwa katika jimbo la Manitoba, Kanada. Liko kaskazini mwa mji wa Winnipeg. Ni ziwa kubwa zaidi katika kusini ya Canada.

Read article
Faili:Nelsonrivermap.pngFaili:Commons-logo.svg