Map Graph
No coordinates found

Chuo Kikuu cha Strathmore

chuo kikuu cha kibinafsi nchini Kenya

Chuo Kikuu cha Strathmore ni chuo cha binafsi mjini Nairobi, Kenya. Chuo cha Strathmore kilianzishwa mwaka wa 1961, kama chuo cha kiwango cha sita kinachofunza sayansi na sanaa za masomo, na kundi la wataalamu ambao walianzisha Hisani ya Kielimu inayoaminika sasa. Mtakatifu Josemaría Escrivá, mwanzilishi wa Opus Dei, aliwaongoza na kuwapa moyo kuanzisha chuo hicho hiyo.

Read article
Faili:An_aerial_view_of_Strathmore-University_Keri_campus.jpg