Maporomoko ya Bujagali
Maporomoko ya Bujagali yalikuweko karibu Jinja, Uganda, mto Nile ulikotoka ziwa Viktoria hadi Novemba 2011, yalipofunikwa na Lambo la Bujagali. Wataalamu wengine waliyahesabu kuwa chanzo cha Nile.
Read article
Nearby Places
Lambo la Bujagali