Map Graph
No coordinates found

Kisepa (Indonesia)

Kisepa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasepa kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kisepa imehesabiwa kuwa watu 2600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisepa iko katika kundi la Kimaluku.

Read article