Map Graph

Bahari ya Timor

Bahari ya Timor ni bahari ya pembeni ya Bahari Hindi iliyopo baina ya kisiwa cha Timor na Australia. Eneo lake ni km2 61,500 na kimo chake hufikia hadi mita 3300 lakini wastani ni mita 406 pekee.

Read article
Faili:Locatie_Timorzee.PNGFaili:Commons-logo.svg