Ziwa Kyasanduka

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ziwa Kyasanduka

Ziwa Kyasanduka ni ziwa dogo la Uganda (wilaya ya Rubirizi) lililopo katika kasoko ya volikano.

Thumb
Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.