From Wikipedia, the free encyclopedia
Zachary Taylor (24 Novemba 1784 – 9 Julai 1850) alikuwa Rais wa 12 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1849 hadi kifo chake baada ya miezi 16 tu ya kukaa madarakani. Kaimu Rais wake alikuwa Millard Fillmore aliyemfuata kama Rais.
Zachary Taylor | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1849 – Julai 9, 1850 | |
Makamu wa Rais | Millard Fillmore |
mtangulizi | James K. Polk |
aliyemfuata | Millard Fillmore |
tarehe ya kuzaliwa | Barboursville, Virginia, Marekani | Novemba 24, 1784
tarehe ya kufa | 9 Julai 1850 (umri 65) Washington, D.C., Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Zachary Taylor National Cemetery |
ndoa | Margaret Smith (m. 1810) |
watoto | 6 |
signature |
}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zachary Taylor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.