From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilhelm Conrad Röntgen (27 Machi 1845 – 10 Februari 1923) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa ugunduaji wa mionzi ya eksirei. Mwaka wa 1901 alikuwa mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Elementi sintetiki ya Roentgeni ilipewa jina kwa heshima yake Roentgen.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wilhelm Röntgen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.