From Wikipedia, the free encyclopedia
Waxhosa ni moja miongoni mwa makabila ya Afrika Kusini. Wako mnamo milioni 8 na lugha yao ni Kixhosa. Watu maarufu wengi kutoka Afrika Kusini walikuwa wa kabila hilo wakiwemo Nelson Mandela na Thabo Mbeki
Makala hii kuhusu "Waxhosa" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.