From Wikipedia, the free encyclopedia
Wasagalla ni kabila la watu wa jamii ya Wabantu wanaoishi kusini mashariki mwa Kenya, katika milima ya Taita kaunti ya Taita-Taveta.
Lugha yao ni Kisagalla, mojawapo kati ya lugha za Kibantu ambayo inafanana na Kitaita na pia Kichaga.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.