Visiwa vya Cayman ni funguvisiwa la Karibi na eneo la ng'ambo la Uingereza katika Bahari ya Karibi upande wa kusini wa Kuba na upande wa magharibi wa Jamaika.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: "He hath founded it upon the seas" | |||||
Wimbo wa taifa: God Save the Queen Mungu abariki Malkia | |||||
Mji mkuu | George Town | ||||
Mji mkubwa nchini | George Town | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Elizabeth II wa Uingereza Helen Kilpatrick Kurt Tibbetts | ||||
Kuundwa Kutengwa na Jamaila |
1962 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
260 km² (ya 206) 1.6 | ||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 1999 sensa - Msongamano wa watu |
45,017 (ya 208) 39,020 139.5/km² (ya 63) | ||||
Fedha | Cayman dollar (KYD ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-5) (UTC-5) | ||||
Intaneti TLD | .ky | ||||
Kodi ya simu | +1-345
- |
Eneo lake ni visiwa vitatu vya Grand Cayman, Little Cayman na Cayman Brac, jumla km² 260.
Mji mkuu ni George Town kwenye kisiwa cha Grand Cayman.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Cayman kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.