From Wikipedia, the free encyclopedia
Kasimwelekeo (pia velositi[1] kutokana na Kiingereza velocity) ni kipimo cha kasi ya mwendo wa kitu kuelekea mahali fulani. [2]
Katika fizikia kasimwelekeo inataja muda unaohitajika kupeleka kitu kutoka mahali pamoja kwenda mahali pengine. Kwa hiyo ni kipimo kinachounganisha habari mbili yaani kasi na mwelekeo. Kipimo cha aina hii huitwa kipimo vekta.
Kwa mfano gari linaelekea kusini kwa kasi ya 70 km/h. Habari hizi kwa pamoja ni kasimwelekeo. <ref>"Vectors, Introduction". id.mind.net. Iliwekwa mnamo 25 Machi 2010.{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Kama kitu kinazunguka kwenye duara mara moja na kufikia pale kilipotoka hakikuondoshwa. Kwa hiyo uondoshaji wake ni = sifuri na hivyo hata kasimwelekeo ni sifuri. Hii ni tofauti na kasi ya kitu kile katika mwendo wa kuzunguka.
Kasimwelekeo ni lazima iwe na mwelekeo pia.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.