Utegili (damu) ni yale majimaji yanayobaki kwenye damu baada ya kuondolewa kwa seli za damu kwenye damu ya vetebrata
Utegili (seli) ni majimaji ndani ya seli za mwili
Utegili (fizikia) ni hali ya mada kama gesi ya joto sana inaachana na elektroni
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana
Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.