Useja
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Useja ni hali ya mtu kuishi bila ndoa. Inaweza kutokea kwa sababu mbalimbali, lakini inazingatiwa hasa ile inayotokana na uamuzi kamili wa mhusika asiye na kizuio chochote, hasa kama akichagua kuishi hivyo kwa sababu ya kidini.
Kesi za namna hiyo zimepatikana katika dini karibu zote.
Ni maarufu hasa neno la Yesu katika kutetea wanaofanya hivyo kwa ajili ya Mungu, yeye akiwa mmojawapo (Math 19:11-12).
Katika Ukristo hali ya namna hiyo inaitwa pengine useja mtakatifu na ni msingi wa utawa wa aina yoyote.
{{cite book}}
: External link in |postscript=
(help)CS1 maint: postscript (link)Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.