Kiurdu (pia hujulikana kama Lashkari imeandikwa لشکری[1]) ni aina ya lugha ya Kihindi iliyosanifiwa.

Thumb
Lashkari Zaban ("lugha ya kambi ya jeshi" au "Lugha ya Hordish") katika hati ya Nastaliq

Ndiyo lugha rasmi ya Pakistan na ya majimbo 6 ya India (katika nchi hiyo ni mojawapo kati ya 22 zinazokubaliwa na katiba).

Kwa kawaida kinaandikwa kwa herufi za Kiarabu kutokana na uhusiano wake na dini ya Uislamu.

Wanaokitumia kama lugha mama ni watu milioni 65.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.