Kupika

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kupika

Kupika ni mchakato wa kuandaa chakula ili kiliwe. Mahali ambapo watu wanafanya hivyo ni jikoni, nao wanaitwa wapishi.

Thumb
Mtu akiwa anapika katika mgahawa huko Moroko.
Thumb
Kupika huko Cote d'Ivoire.

Joto linaweza kufanywa kwa moto kwa kutumia kuni, mkaa, nishati ya jua au kwa jiko la kutumia umeme.

Tanuri ni sehemu ya jiko ambalo ni kama sanduku. Watu hujenga sehemu hizo kwa kutumia matofali au udongo.

Kuna njia mbalimbali za kupika chakula. Tunachemsha chakula kwa kukipika ndani ya maji, kukaanga chakula kwa kukipikia siagi kali na mafuta, kuchoma nyama kwa kuiweka juu ya moto au kutumia jiko la kisasa la kuchomea nyama zinazotumia makaa, stima au gesi.

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.