Tembo-bahari
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tembo-bahari (kutoka Kijerumani: see-elefant; jenasi Mirounga) ni wanyama wakubwa wa Bahari ya Pasifiki na Bahari ya Kusini wenye mkonga mfupi kama tembo.
Tembo-bahari | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 2:
| ||||||||||||||
![]() Msambao wa tembo-bahari kaskazi (buluu) | ||||||||||||||
![]() Msambao wa tembo-bahari kusi (feruzi) | ||||||||||||||
Spishi
- Mirounga angustirostris, Tembo-bahari kaskazi (Northern elephant seal)
- Mirounga leonina, Tembo-bahari kusi (Southern elephant seal)
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.