Takaaki Kajita (amezaliwa 9 Machi, 1959) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Hasa amechunguza mbembeo wa nyutrino unaoonyesha kwamba nyutrino ina masi. Mwaka wa 2015, pamoja na Arthur B. McDonald, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Takaaki Kajita kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
'
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.