From Wikipedia, the free encyclopedia
Taşova ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Amasya katikati ya kanda ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Mji unachukua eneo la 1041 km² na jumla ya wakazi takriban 57,050 ambao 15,556 wanaishi mjini mwa Taşova.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Taşova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.