Stephen Watson
Mshairi wa Afrika Kusini From Wikipedia, the free encyclopedia
Mshairi wa Afrika Kusini From Wikipedia, the free encyclopedia
Stephen Watson (6 Novemba 1954 - 10 Aprili 2011) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alifundisha Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Cape Town. Hasa aliandika mashairi kuhusu mji wake wa Cape Town. Mwaka wa 2011 aliaga dunia baada ya kupatwa na kansa.
Stephen Watson | |
Amezaliwa | 6 Novemba 1954 Cape Town, Afrika Kusini |
---|---|
Amekufa | 10 Aprili 2011 Cape Town, Afrika Kusini |
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mshairi |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stephen Watson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.