Safu ya Ruwenzori (pia: Rwenzori) ni eneo la milima katika Afrika ya Kati kwenye mpaka wa Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mlima wa juu ni Pic Marguerite (Mlima Stanley) wenye kimo cha mita 5,109 juu ya UB. Mingine ni mlima Speke (m 4,890), mlima Baker (m 4,844), mlima Emin (m 4,798), mlima Gessi (m 4,715) na mlima Luigi di Savoia (m 4,627).
Baada ya Kilimanjaro na mlima Kenya, Ruwenzori ni mlima mkubwa wa tatu barani Afrika. Pamoja na hiyo miwili ndiyo milima pekee yenye barafuto za kudumu kwenye bara hilo.
Huaminiwa ya kwamba Rwenzori ni ile "Milima ya Mwezi" iliyotajwa katika taarifa za Klaudio Ptolemaio zamani za Misri ya Kale.
Tazama pia
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Safu ya Ruwenzori kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.