Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Richard Willstätter (13 Agosti 1872 – 3 Agosti 1942) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza mfumo wa dutu mbalimbali, kwa mfano vimeng'enya na alkaloidi. Mwaka wa 1915 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Richard Willstatter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.